Suluhisho salama, la uhakika na la kisasa kwa nyumba na ofisi.
Mifumo ya kawaida ya umeme inayotumika majumbani
Nyaya hupitishwa juu ya ukuta na zinaonekana wazi.
Nyaya hufichwa ndani ya ukuta au dari.
Nyaya hulindwa kwa casing na capping juu ya ukuta.
Nyaya huwekwa juu ya batten (mbao/PVC).
Nyaya hupitishwa ndani ya bomba la PVC au chuma.
Wasiliana nasi leo kwa huduma ya kitaalam na ushauri wa uhakika.
Wasiliana Nasi