Suluhisho salama, la kisasa na linalokidhi mahitaji ya ofisi za kisasa
Angalia MifumoWiring ya maofisini ni mpangilio maalum wa kusambaza umeme na mawasiliano kwa usalama na ufanisi. Inazingatia matumizi ya kompyuta, mitandao, taa, vifaa vya IT pamoja na mifumo ya dharura.
Nyaya hupitishwa ndani ya kuta na dari kwa kutumia PVC au metal conduit. Mfumo huu ni salama na una muonekano mzuri.
Hutumika kupitisha nyaya za umeme na data kwa pamoja katika ofisi zenye mahitaji yanayobadilika.
Nyaya hupitishwa chini ya sakafu iliyoinuliwa (raised floor), mfumo bora kwa ofisi za IT.
• Mfumo wa umeme wa kompyuta na server
• Structured cabling kwa internet na LAN
• Emergency & backup power (UPS, Generator)
• Lighting systems na energy saving
• CCTV, Access control na fire alarm
Wasiliana nasi kwa ushauri wa kitaalamu na ufungaji salama
Wasiliana Nasi