Disco & Stadium Wiring Systems

Mifumo ya umeme salama, imara na yenye nguvu kwa kumbi za burudani na viwanja

Angalia Mifumo

Utangulizi

Maeneo kama disko, viwanja na kumbi za matukio hutumia vifaa vya umeme vyenye mzigo mkubwa kama taa kali, sound systems na vifaa vya stage. Hivyo huhitaji wiring maalum inayozingatia usalama, nguvu na udhibiti.

Mifumo ya Wiring Inayotumika

Heavy Duty Conduit Wiring

Metal conduit wiring kwa mzigo mkubwa na mazingira yenye watu wengi.

  • Kingamoto
  • Imara sana
  • Hudumu muda mrefu
Armoured Cable (SWA)

Nyaya zenye kinga ya chuma kwa maeneo ya nje na power distribution.

  • Himili maji na jua
  • Mizigo mikubwa
  • Salama kwa viwanja
Cable Tray & Trunking

Mfumo wa cable trays kwa sound systems, disco lights na control rooms.

  • Rahisi kuongeza nyaya
  • Matengenezo rahisi
  • Muonekano wa kitaalamu

Mifumo ya Usalama

✔ Emergency lighting & exit signs

✔ Fire alarm & smoke detectors

✔ Earthing & lightning protection

✔ Backup power (Generator / UPS)

✔ Separate circuits (sound, light, emergency)

Unahitaji Wiring ya Disco au Uwanja?

Wasiliana nasi kwa ufungaji salama na wa kitaalamu

Piga Simu