Vifaa, gharama, WhatsApp contact, Google Maps, BOQ + PDF
Nyumba za biashara zinahitaji wiring ya ubora wa juu, usalama, na load kubwa. Hapa chini kuna maelezo ya kila kifaa na kazi yake.
Husambaza umeme kutoka DB kwenda kwenye soketi, taa, na vifaa vya ofisi au biashara. Nyaya kubwa zinahakikisha load kubwa haizidi.
Bei: TSh 2,000 – 5,000/m
Switch hubadilisha taa, soketi hutoa connection kwa kompyuta, friji, na vifaa vya ofisi au biashara.
Bei: TSh 4,000 – 20,000 kila moja
Hutoa mwanga wa kutosha kwa ofisi, maduka au viwanja vya biashara. LED zinapunguza umeme na kudumu.
Bei: TSh 6,000 – 35,000
Hupokea umeme kutoka TANESCO na kuusambaza kwa circuits za ofisi, maduka, na viwanja vya biashara.
Bei: TSh 120,000 – 350,000
Hulinda nyumba dhidi ya overload, short circuit na shock. MCB kwa circuits zote, RCCB kwa usalama wa watu.
Bei: TSh 20,000 – 100,000
Hulinda nyaya na kuongeza usalama ndani ya walls na ceilings. Inapendekezwa kwa nyumba za biashara zenye wiring nyingi.
Bei: TSh 2,500 – 6,000/kipande
Hulinda watu na vifaa kwa kupeleka umeme ardhini endapo hitilafu itatokea. Ni lazima kwa biashara ili usalama wa employees na clients.
Bei: TSh 70,000 – 200,000| Item | Qty | Unit Price | Total |
|---|