Vifaa vya umeme, kazi zake, na makadirio ya gharama kulingana na idadi ya floor
Kadiria GharamaNyumba za ghorofa zinahitaji wiring yenye load kubwa, circuits nyingi, DB za kila floor, na usalama wa MCB/RCCB. Hapa chini kuna maelezo ya kila kifaa cha umeme na kazi yake.
Husambaza umeme kutoka main DB kwenda DB za kila floor, soketi, taa, na appliances. Nyaya kubwa zinahakikisha load ya apartments haizidi.
Bei: TSh 5,000 – 15,000/m
Switch hubadilisha taa, soketi hutoa connection kwa appliances ndani ya apartment. Soketi za 16A-32A kwa load kubwa.
Bei: TSh 5,000 – 20,000 kila moja
Hutoa mwanga wa kutosha kwa apartments, corridors, na lobby. LED zinapunguza matumizi ya umeme.
Bei: TSh 8,000 – 50,000
Husambaza umeme kwa floor zote, lighting, soketi, appliances. DB za chini na juu kwa kila floor.
Bei: TSh 150,000 – 500,000
Hulinda apartments na tenants dhidi ya overload, short circuit, na shock. RCCB ni muhimu kwa kila floor.
Bei: TSh 25,000 – 120,000
Hulinda nyaya ndani ya walls na ceilings. Inapendekezwa kwa concealed wiring za apartments na corridors.
Bei: TSh 3,500 – 7,000/kipande
Hulinda tenants, appliances, na staff kwa kupeleka umeme ardhini endapo hitilafu itatokee.
Bei: TSh 100,000 – 300,000| Item | Qty | Unit Price | Total |
|---|