Office Wiring Tanzania

Vifaa vyote vya ofisi, gharama + BOQ + PDF

Pata Estimate

Utangulizi

Wiring ya ofisi inahitaji vifaa vinavyoweza kubeba load kubwa na kuhakikisha usalama wa wafanyakazi na vifaa. Hapa chini kuna maelezo ya kila kifaa cha umeme na kazi yake.

Vifaa vya Umeme kwa Ofisi

Office Cables
Nyaya za Umeme

Husambaza umeme kutoka DB kwenda kwa soketi, taa, printers, na server rooms. Nyaya kubwa zinahakikisha load kubwa haizidi.

Bei: TSh 2,500 – 6,000/m
Switch & Socket
Switch & Soketi

Switch hubadilisha taa, soketi hutoa connection kwa kompyuta, printers, servers, na vifaa vingine vya ofisi.

Bei: TSh 5,000 – 20,000 kila moja
LED Light
Taa za LED / Panel Lights

Hutoa mwanga wa kutosha kwa workstations, conference rooms, na hall za ofisi. LED zinapunguza matumizi ya umeme.

Bei: TSh 8,000 – 40,000
Distribution Board
Distribution Board (DB)

Hupokea umeme kutoka TANESCO na kuusambaza kwa circuits zote za ofisi, servers, na lighting.

Bei: TSh 150,000 – 400,000
MCB/RCCB
MCB & RCCB

Hulinda ofisi dhidi ya overload, short circuit na shock. RCCB hutoa security kwa wafanyakazi.

Bei: TSh 25,000 – 100,000
PVC Conduit
PVC Conduit

Hulinda nyaya ndani ya walls na ceilings. Inapendekezwa kwa wiring nyingi za ofisi.

Bei: TSh 3,000 – 6,000/kipande
Earthing
Earthing System

Hulinda wafanyakazi na vifaa kwa kupeleka umeme ardhini endapo hitilafu itatokea.

Bei: TSh 80,000 – 200,000

Calculator ya makadirio ya Gharama

Makadirio ya Gharama:

Wasiliana Nasi

Piga moja kwa moja WhatsApp au pata location yetu

WhatsApp

BOQ & PDF Quotation

ItemQtyUnit PriceTotal