Vifaa, gharama, WhatsApp contact, Google Maps, BOQ + PDF
Wiring ya ndani ya nyumba ya kawaida, vifaa vinavyopatikana Tanzania, gharama na tools za interactive.
Husambaza umeme kutoka DB kwenda taa na soketi. Nyaya za shaba ndizo zinazopendekezwa.
Bei: TSh 1,500 – 3,500 kwa mita
Switch hudhibiti taa, soketi huunganisha vifaa kama TV, friji na pasi.
Bei: TSh 3,000 – 15,000 (kila moja)
Hutoa mwanga ndani na nje ya nyumba. LED hutumia umeme mdogo na hudumu muda mrefu.
Bei: TSh 5,000 – 25,000
Hupokea umeme kutoka TANESCO na kuusambaza kwenye mizunguko ya nyumba.
Bei: TSh 80,000 – 250,000
Hulinda nyumba dhidi ya overload, short circuit na mshtuko wa umeme.
Bei: TSh 15,000 – 80,000
Hulinda nyaya ndani ya ukuta na dari, huongeza usalama wa wiring.
Bei: TSh 2,000 – 5,000 kwa kipandeHulinda watu na vifaa kwa kupeleka umeme ardhini endapo hitilafu itatokea.
Bei: TSh 50,000 – 150,000| Item | Qty | Unit Price | Total |
|---|