Wiring ya Ukumbi / Disco Tanzania

Vifaa vya umeme, kazi zake, na makadirio ya gharama kwa ukubwa wa ukumbi

Kadiria Gharama

Utangulizi

Ukumbi au disco inahitaji wiring yenye load kubwa, lighting ya stage, sound system, na vifaa vya ukumbi. Hapa chini kuna maelezo ya kila kifaa cha umeme na kazi yake.

Vifaa vya Umeme kwa Ukumbi

Cables
Nyaya za Umeme (6mm² – 16mm²)

Husambaza umeme kutoka DB kwenda lighting, sound system na outlets. Nyaya kubwa zinahakikisha load ya stage na sound haizidi.

Bei: TSh 5,000 – 12,000/m
Switch & Socket
Switch & Soketi za Ukumbi

Switch hubadilisha stage lights, soketi hutoa connection kwa DJ, speakers, LED walls, na projector.

Bei: TSh 6,000 – 25,000 kila moja
LED Light
Taa za Stage / LED / Floodlights

Hutoa mwanga wa kutosha kwa stage, dance floor, na seating area. LED na floodlights hupunguza matumizi ya umeme.

Bei: TSh 15,000 – 60,000
Distribution Board
Distribution Board (DB)

Hupokea umeme kutoka TANESCO na kuusambaza kwa circuits zote za ukumbi, stage, lighting, na sound system.

Bei: TSh 200,000 – 500,000
MCB/RCCB
MCB & RCCB

Hulinda ukumbi dhidi ya overload, short circuit na shock. RCCB ni muhimu kwa usalama wa staff na visitors.

Bei: TSh 30,000 – 120,000
PVC Conduit
PVC Conduit

Hulinda nyaya ndani ya walls na ceilings. Inapendekezwa kwa wiring nyingi na concealed wiring za ukumbi.

Bei: TSh 3,500 – 7,000/kipande
Earthing
Earthing System

Hulinda wafanyakazi, DJ, na visitors kwa kupeleka umeme ardhini endapo hitilafu itatokea.

Bei: TSh 100,000 – 250,000

Calculator ya makadirio ya Gharama

Makadirio ya Gharama:

Wasiliana Nasi

Piga moja kwa moja WhatsApp au pata location yetu

WhatsApp

BOQ & PDF Quotation

ItemQtyUnit PriceTotal