Huduma za Kitaalam za Wiring na Ufungaji wa Umeme Viwandani

Suluhisho salama, la uhakika na la kisasa kwa kiwanda chako.

Aina za Mifumo ya Wiring za Viwandani

Mifumo ya umeme inayotumika katika viwanda na mitambo ya uzalishaji

Conduit Wiring
Conduit Wiring

Nyaya hupitishwa ndani ya conduit za chuma au PVC nzito kwa ulinzi mkubwa.

  • Usalama wa juu sana
  • Hudumu muda mrefu
  • Inafaa kwa mitambo mizito
Trunking Wiring
Trunking Wiring

Hutumia sanduku (trunking) kubeba nyaya nyingi kwa mpangilio mmoja.

  • Rahisi kuongeza nyaya
  • Matengenezo rahisi
  • Mpangilio mzuri
Cable Tray System
Cable Tray System

Hutumia trey ya chuma kubeba nyaya juu au pembeni mwa kuta.

  • Inafaa kwa nyaya nyingi
  • Rahisi kukagua
  • Hupunguza joto
Busbar Trunking
Busbar Trunking System

Hutumia busbars kusafirisha umeme mkubwa badala ya nyaya.

  • High current capacity
  • Hasara ndogo ya umeme
  • Salama sana
Armoured Cable
Armoured Cable (SWA)

Nyaya zenye kinga ya chuma dhidi ya mshindo, panya na unyevu.

  • Inafaa chini ya ardhi
  • Kinga kali
  • Hudumu muda mrefu
Flexible Conduit
Flexible Conduit Wiring

Hutumika kuruhusu mashine au motor kusogea bila kuvuta nyaya.

  • Inaruhusu movement
  • Rahisi kufunga
  • Kwa umbali mfupi

Muhtasari wa Haraka

Mfumo wa Wiring Usalama Gharama Matumizi
Conduit Wiring Juu sana Kubwa Viwanda vizito
Trunking Nzuri Kati Control rooms
Cable Tray Nzuri Kati Nyaya nyingi
Busbar System Juu sana Kubwa sana Main distribution
Armoured Cable Juu Kubwa Chini ya ardhi
Flexible Conduit Wastani Ndogo Mashine