Privacy Policy

Last updated: 2026

Tanzania Wiring Solution inaheshimu na kulinda faragha ya watumiaji wake. Sera hii inaeleza jinsi tunavyokusanya, kutumia na kulinda taarifa binafsi zinazopatikana kupitia website au jukwaa letu.

1. Taarifa Tunazokusanya
2. Matumizi ya Taarifa

Tunatumia taarifa zako kwa madhumuni yafuatayo:

3. Usiri wa Taarifa

Hatutauza, kugawanya au kutoa taarifa zako binafsi kwa mtu au taasisi yoyote ya tatu bila ridhaa yako, isipokuwa pale sheria itakapolazimisha.

4. Ulinzi wa Taarifa

Tunachukua hatua stahiki za kiusalama (technical & organizational measures) kulinda taarifa zako dhidi ya matumizi mabaya, upotevu au ufikiaji usioidhinishwa.

5. Cookies

Website yetu inaweza kutumia cookies kuboresha utendaji na uzoefu wa mtumiaji. Mtumiaji ana hiari ya kukubali au kukataa matumizi ya cookies kupitia browser yake.

6. Haki za Mtumiaji

Mtumiaji ana haki ya:

7. Mabadiliko ya Sera

Tanzania Wiring Solution ina haki ya kurekebisha sera hii ya faragha wakati wowote. Mabadiliko yatatangazwa kupitia ukurasa huu.

8. Mawasiliano

Kwa maswali au maombi yanayohusu faragha, tafadhali wasiliana nasi kupitia ukurasa wa Contact Us.