Tanzania Wiring Solution ni jukwaa la kitaalamu la mtandaoni linalolenga kuwaunganisha wananchi na wakandarasi wa umeme wenye sifa, uzoefu na leseni halali.
Tunatoa suluhisho kwa mahitaji ya wiring za majumbani, ofisi, biashara, maghorofa na viwanda kwa kuzingatia viwango vya usalama na ubora wa hali ya juu.
Dhamira yetu ni kuinua usalama na ubora wa huduma za ufungaji wa umeme Tanzania kwa kutumia teknolojia ya kidijitali.
Tunatoa elimu na uelewa wa masuala ya wiring, usalama wa umeme na matumizi sahihi ya mifumo ya umeme.
Tunawaunganisha wateja na wakandarasi wa umeme wenye leseni, uzoefu na sifa zinazotambulika.
Timu yenye uzoefu na leseni halali
Viwango vya TANESCO na IEC
Huduma bora na ya kuaminika
Wasiliana nasi leo kwa huduma ya kitaalam na ushauri wa uhakika.
Wasiliana Nasi
Information and Communication